|  | 
| Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa Jijini Mbeya | 
|  | 
| Askari wa JWTZ wakibadilishana mawazo kabla ya kufanyika kwa tendo la kumbukumbu ya Mashujaa. | 
|  | 
| Mzee Ernest Waya(92) akisindikizwa kuweka shoka ikiwa ni ishara ya kumbukumbu ya mashujaa | 
|  | 
| Mmoja wa wazee walioshiriki vita Kuu | 
|  | 
| Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa Jijini Mbeya leo | 
|  | 
| Askari wa JWTZ wakiwa katika maombolezo kuwakumbuka Mashujaa waliopigana Vita Kuu | 
|  | 
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo asubuhi | 
 
                                 
Post a Comment