Uwanja wa Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane, Uyole Jijini Mbeya |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipata maelezo ya utendaji katika banda la Shirika la Hifadhi ya Taifa NANE NANE jijini Mbeya |
Mkuu wa MKOA wa Mbeya Abbas KANDORO akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kumaliza kutembelea banda la TANAPA kwenye maonesho ya NANE NANE leo mchana. |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwa amestarehe katika banda la makaribisho lililotengenezwa kwa mianzi la Jeshi la MAGEREZA alipowasili kwenye banda la MAGEREZA leo mchana. |
Banda la mapumziko lililotengenezwa kwa mianzi lililojengwa na Jeshi la Magereza kwenye uwanja wa maonesho ya Kilimo Nane Nane. |
Mazungumzo kati ya maofisa wa Magereza na Mkuu wa Mkoa yakiendelea katika banda lililotengenezwa kwa mianzi katika banda la Maonesho la Magereza kwenye maonesho ya kilimo Nane NANE |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiangalia moja ya ghala la kuhifadhia chakula ambalo limetengenezwa kwa mtindo wa kizamani. |
Mkuu wa Mkoa wa MBEYA Kandoro akiangalia mmea wa zao la kitunguu namna ambavyo kimestawishwa kwenye shjamba darasa la Jeshi la Magereza, Uwanja wa NANE NANE. |
Post a Comment
Post a Comment