Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akihutubia wananchi wa kata ya Maanga leo jioni |
Wakati akiendelea na mkutano gari lililobeba askari wa kutuliza ghasia wakielekea lindoni lilikatisha katika mkutano wake na kuleta taharuki kwa wananchi |
Sugu alitumia fursa hiyo ya kuzungumza na wananchi kuwasomea matumizi za miradi za mfuko wa Jimbo kiasi cha Sh. milioni 93 zilivyotumika kwa miradi mbalimbali ya Jiji la Mbeya. |
Katibu Mwenezi wa CHADEMA Jiji la Mbeya Baraka Mwakyabula akizungumza kabla ya kuwakaribisha viongozi jukwaani. |
Baadhi ya wananchi walioshiriki kusikiliza mkutano huo. |
Mkufunzi wa mafunzo CHADEMA ni Msingi Nyanda za Juu Kusini Pascal Haonga akielekeza mipango madhubuti iliyofanikiwa juu ya CHADEMA NI MSINGI. |
Baadhi ya wazee walijisogeza na mpongeza Mbunge wa Mbeya Mjini Sugu kwa hotuba yake. |
Taarifa za miradi ya fedha za Mfuko wa Jimbo |
Post a Comment
Post a Comment