Hapa ni Taifa Market Jijini Mzuzu maarufu kwa Watanzania wengi hufanya shughuli zao ni eneo ambalo unaweza angalau kujivunia kwa kukutana na watu wa nyumbani,wanmaozungumza lugha ya nyumbani ni Jiji safi lililowekewa miundo mbinu safi na hapa niliposimama ni ghba la takataka kila baada ya muda gari la kuzoa taka hupita hakuna vumbi kama tulilozoea nyumbani, unaona aibu hata kutupa chini vocha uliyokwangua na kuweka katika simu yako. |
Post a Comment
Post a Comment