Gari aina ya LandCuiser mali ya Shirika la NSSF lenye namba za usajili SU 36276 wilayani Mbozi baada ya kugongana uso kwa uso na Lori la Mafuta ledo mchana eneo la Vwawa |
Baadhi ya wanafamilia wakilia kwa majonzi baada ya kushuhudia ajali hiyo iliyosababisha vifo vya Dereva wa NSSF na Meneja wake |
Trekta lilijaribu kuvuta Chesesi ya Lori ili kumtoa dereva wa Lori ambaye alibanwa baada ya kutokea ajali hiyo |
Dereva wa Lori hilo akiwa amebanwa katika chesesi kabla ya kuokolewa na wasamaria wema |
Baadhi ya wasamaria wakimsaidia dereva aliyebanwa |
Wasamaria wema wakitoa msaada baada ya kumuokoa dereva wa lori aliyebanwa....HABARI KAMILI ITAKUJIA BAADAYE.... |
Post a Comment
Post a Comment