Huduma duni za kijamii kwa wananchi waishio vijijini hushabihi mazzingira halisi waishiyo na kuathiri maisha halisi ya wakazi wa maeneo mengi ya vijijini, Pichani mwanamke Mkazi wa kijiji cha Chimbuya wilayani Mbozi mkoani Mbeya akiwa ameambatana na wanayewakipita huku na huko kusaka maji kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama alivyonaswa na kamera yetu juzi. |
Post a Comment
Post a Comment