Picha hii ya mtoto Tecla Joseph (2)wakati huo iliyopigwa na RASHID MKWINDA mwaka 2005 usiku wa manane katika Ukumbi wa Starehe wa Dandhoo kwenye Tamasha la Fiesta ni sehemu tu ya aina ya unyanyasaji unaofanywa dhdi ya watoto wadogo katika maeneo mengi ya starehe hapa nchini, tuendelee kukemea vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto nchini. |
Post a Comment
Post a Comment