Christian Mwakyembe(68) enzi za uhai wake |
Mwandishi wa habari wa gazeti la Raia Mwema Felix Mwakyembe akiwa na watoto wa marehemu kaka yake mara baada ya kuwasili kijijini Ikolo wilayani Kyela kwa ajili ya mazishi. |
Waandishi wa habari (TAJATI)wakishusha mwili wa Christian Mwakyembe kwenye nyumba yake ya milele kijijini Ikolo Kyela mkoani Mbeya. |
Waandishi na wanachama wa Chama Cha Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI)wakimfariji mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe ambaye amefiwa na kaka yake. |
Mwandishi Venance Matinya akiliweka vizuri jeneza la mwili wa marehemu Christian baada ya kushushwa kaburini |
Mwandishi wa habari Festo Sikagonamo akisaidia kutoa huduma ya kugawa chakula kwenye msiba wa Christian Mwakyembe kijijini Ikolo jana. |
Watoto wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye kaburi la baba yao jana |
Dkt. Harrison Mwakyembe katikati akiwa na ndugu zake wakiweka shada la maua kwenye kaburi la kaka yao Christian Mwakyembe kijijini Ikolo Kyela jana. |
Mke wa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akipokea shada la maua kutoka kwa Dkt. Mwakyembe wakati wa mazishi ya kaka yake Dkt. Mwakyembe kijijini Ikolo jana. |
Wanachama wa chama cha Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezeji (TAJATI) wakimuaga mwanachama mwenzao Felix Mwakyembe baada ya mazishi ya kaka yake Kyela jana jioni. |
Post a Comment
Post a Comment