SAFARI YA WAPANDA BAISKELI YAKARIBIA UKINGONI WAINGIA MKOA WA PWANI Rashid Mkwinda 5:29 PM Hatimaye safari ya wapanda baiskeli kutokea Mkoani Mbeya iliyochukua wiki nzima kuanzia Jumatatu iliwafikisha mkoani Pwani Barua ya kuwatambulisha Wapanda Baiskeli kutoka Mbeya. Wiseman Luvanda, John Mwakyejo,Alex Mahenge na Elikana Kagoma kwa Rais Jakaya Kikwete habaripicha
Post a Comment
Post a Comment