Safari iliendelea na kupita Mikumi National Park kwa kusindikizwa na askari wa Wanyama Pori wa hifadhi ya Mikumi. |
Askari wa kituo cha Mikumi walipata fursa ya kuburudika kwa mbwembwe za uendeshaji wa Baiskeli kutoka kwa wapanda Baiskeli hao. |
Walifika Morogoro na klupata fursa ya kuhojiwa na Kituo cha Televisheni ya Taifa TBC juu ya safari yao ya Kumpongeza Rais Kikwete kutimiza miaka 10 ya Uongozi wake. |
Post a Comment
Post a Comment