| Baadhi ya wanahabari wakiwa mbele ya bango linaloonesha Hifadhi ya Taifa ya Kitulo | 
| Ardhi yenye kijani kibichi kuelekea wilayani Makete ilipo Hifadhi ya Taifa Kitulo | 
| Mbunge wa Makete Dkt. Norman Sigalla akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Makete | 
| Baadhi ya wanahabari wakifuatilia kwa makini taarifa inayotolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makete | 
| Mkurugenzi wa Halmashauri ya Makete Francis Namaumbo | 
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya Makete Egnatio Mtawa | 
| Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye picha ya pamoja na watendaji wa Halmashauri ya Makete mbele ya ofisini hizo walipotembelea mwishoni mwa wiki | 
| Waandishi wa Habari wana TAJATI wakiwa kwenye ofisi za Hifadhi ya Taifa Kitulo | 
| Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa Kitulo akitoa maelezo kwa waandishi wa habari waliotembelea hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki. | 
| Picha ya pamoja kati ya wanahabari wana TAJATI na watendaji wa Hifadhi ya Taifa Kitulo kwenye ofisi za Hifadhi hiyo mwishoni mwa wiki | 
| Mandhari nzuri ya kuvutia kwenye Hifadhi ya Taifa Kitulo | 
| Matunda aina mbalimbali yanapatikana katika eneo hilo ambayo yanazidi kuongeza mvuto wa ardhi hiyo | 
| Miundo mbinu ya kufikia katika Hifadhi ya Taifa ya Kitulo ni sehemu ya changamoto ambazo zinapaswa kutafutiwa ufumbuzi. | 
Post a Comment