| Maandamano ya kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani yalianzia kwenye Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya | 
| Maandamano yanaendelea!!! | 
| Baadhi ya wanafunzi wa kituo cha CST wakiungana na watu wenye ulemavu duniani katika matembezi ya hiari kuadhimisha siku ya watu wenye ulemavu duniani. | 
| Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiweka saini kwenye kitabu cha wageni wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu. | 
| Mmoja wa watu wenye ulemavu akionesha kipaji chake cha kucheza sarakasi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu jijini Mbeya. | 
| Mwanafunzi mwenye ulemavu kutoka kituo cha kulelea watoto cha CST akionesha kipaji chake cha kupiga gitaa na kuimba | 
| Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akizungumza na wananchi kwenye kilele cha siku ya wenye ulemavu uwanja wa sokoine. | 
| Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akizungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu | 
| Mgeni rasmi Stellah Kategile Ofisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Mbeya akizungumza na wananchgi kwenye maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu dunian | 
| Mgeni rasmi Ofisa Maendeleo ya Jamii Stellah Kategile akiwakabidhi vyeti wahitimu wa Kindegarten wanaotarajia kujiunga na darasa la kwanza mwakani. | 
| Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akipokea cheti kutoka kwa mkurugenzi wa CST Noelah Msuya wakati wa maadhimisho ya siku ya wenye ulemavu kwenye uwanja wa Sokoine leo mchana. | 
| Mkurugenzi wa CST Noelah Msuya akikabidhi vyeti kwa baadhi ya walimu wa shule za msingi waliotgoa ushirikiano kwa mradi wa Peleka Rafiki Zangui Wote Shule | 
Post a Comment