Baadhi ya wanahabari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) wakiwa katika eneo maarufu la utalii wa maparachuti(VIEW AREA) wakati wa ziara yao wilayani Chunya wiki iliyopita |
Wanatajati wakiwa katika Jabali maalumu lililopo kando kando mwa barabara ya Chunya kuelekea Tabora linalotumiwa na wanyama wakali kwa ajili ya kuotea jua |
Zaira ya wanatajati iliendelea na kuingia katika mji wa Makongolosi |
Hatua moja! mbili!! tatu!!! nne!!!! tano!!!!! |
Ilikuwa ni utalii murua kabisa waliruka juu kama Ndege na kutua kama ninja lilikuwa zoezi zuuri sana!! |
Mahindi mabichi ya kuchemsha ilikuwa ndio kifungua kinywa kwa asubuhi hiyo |
Kijijini Kalangali wanatajati walipata kitoweo murua cha nyama ya Mbuzi |
Mandhari ya barabara ya Chunya -Mbeya kama inavyoonekana kwa juu |
Safari ya wanatajati iliwafikisha kwenye ofisi za Halmshauri ya wilaya ya Chunya |
Ndani ya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Chunya |
Mkuu wa wilaya alikuwa katika shughuli nyingine za kijamii |
Hata hivyo Kaimu Ofisa Tawala alichukua nafasi ya kuzungumza machache na wanatajati |
Kaimu Ofisa Tawala wa wilaya ya Chunya Amimu Mwandelile akizungumza na waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji(TAJATI) walipofika kwenye ofisi za Mkuu wa wilaya ya Chunya. |
Post a Comment
Post a Comment