Askari polisi akisaidiana na baadhi ya wananchi kuondoa mawe na majivu ya moto kwenye barabara kuu ya Tanznaia Zambia eneo la Kabwe jijini Mbeya |
Add caption |
Add caption |
Mwenyekiti wa Usafi wa la Soko la Sido Philiston Mwasomola akielezea madhara waliyopata kutokana na wafanyabiashara kuvunjiwa vibanda vyao |
Baadhi ya vyakula vilivyotupwa na kumwagwa wakati wa ubomoaji uliofanywa usiku wa manane na kuathiri wamachinga ambao walipata hasira na kuanza kuchoma matairi na kurushia mawe magari ya polisi na zimamoto
Post a Comment
Post a Comment