Rais Zuma akiwa na mkewe wa pili Nompumelele Ntuli |
Rais Zuma na mkewe Thobeka Madiba |
Wake wa Rais Zuma kutoka kushoto ni Bongi Ngema,Thobeka Madiba,Nompumelele Ntuli na Makhumalo Zuma |
Jumba la Rais Jacob Zuma linalodaiwa kugharimu dola mil 23 fedha zinazotokana na kodi za wananchi |
Jacob
Gedleyihlekisa Zuma(74), Rais Afrika Kusini aliyoongoza nchi hiyo kwa miaka 7
sasa amefikia hatua mbaya kutokana na madai ya matumizi mabaya ya fedha za
umma, wananchi wapaza sauti na kuzomea hadharani!!!( pata stori ikiwa ni pamoja
na idadi ya wake alionao pamoja na watoto wake 22.
Rais Zuma amekumbwa na kashfa hiyo na sasa amefikia hatua
mbaya zaidi juu ya kashfa ya matumizi mabaya ya fedha,akidaiwa kujenga jumba la
kifahari kwa matumizi ya fedha za umma,zinazokadiriwa kufikia dola Mil 23 kesi
yake imefika mahakamani wananchi wake wamefikia hatua ya kupaza sauti na
kumzomea….pata stori kupitia www.mkwinda.blogspot.com
(Run!!! Zuma Run!!! South Africa is not need Jacob Zuma!!!)
ondoka Zuma Ondoka! Afrika Kusini haikuhitaji) ni maneno ya baadhi ya wananchi
wa Afrika Kusini waliokusanyika jana.
Zuma ambaye ni rais kupitia chama tawala cha ANC anaelezwa
kuwa na watoto wapatao 22 na wake watano na kwamba amekuwa akitumia vibaya
fedha za serikali katika uongozi wake tangu aingie madarakani miaka 7 iliyopita
May 9 2009
.
Post a Comment
Post a Comment