Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akimzawadia mmoja wa wafanyakazi bora kwenye kilele cha maadhimisho ya Mei Mosi uwanja wa Sokoine leo mchana |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi jijini Mbeya leo mchana |
MKUU wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amekuwa ni miongoni wa wafanyakazi walioshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Dei.
Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya
Sokoine Makalla amewataka wafanyakazi kuondoa hofu kwenye utendaji wao
huku akitahadharisha kutomuonea mtumishi yeyote wakati wa ufuatiliaji wa
utendaji kazi kwa uadilifu.
Aidha amewaahidi wafanyakazi
kuzifanyia kazi changamoto zote zilizopo chini ya uwezo wake a,bazo
zinazojitokeza mara kwa mara maeneo ya kazi...
Post a Comment
Post a Comment