Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akipokea mfano wa hundi ya sh..mil 10 kwa ajili ya mchango wa madawati mkoani Mbeya |
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akitoa neno la shukurani baada ya kupokea msaada wa fedha sh.mil 10 kutoka kwa Benki ya TIB |
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa TIB Corparate Bank Frank Nyabundege mara baada ya kumkabidhi hundi ya Sh.mil 10 kwa ajili ya madawati mkoani Mbeya |
Post a Comment
Post a Comment