Ads (728x90)

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Mbeya  juu ya msimamo wake kuitaka TANAPA kuondoa ukiritimba wa uwekezaji kwenye hifadhi zake.

Waziri Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari Jijini Mbeya.
SHIRIKA la Hifadhi ya Taifa TANAPA limetakiwa kuondoa ukiritimba wa uwekezaji ili kuacha fursa ya wawekezaji wa ndani na nje kuwekeza katika hifadhi zetu nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mali asili na Utalii Lazaro Nyalandu alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Mbeya akielezea mkakati wa serikali kulinda na kuhifadhi hifadhi ya Taifa.

Post a Comment