Mwandishi wa Habari wa Clement Sanga mwakilishi wa Chanel Ten mkoani Iringa anayedai kuibiwa Laptop katika Hotel aliyolala. ...
UKAWA WANYIMWA KIBALI CHA MATANGAZO NA JIJI,WENYEWE WADAI WATAPIGA MATANGAZO CHINI YA ULINZI WAO, WAWAONYA MAMLUKI WATAKAOPENYEZA MABANGO KWENYE MKUTANO WAO
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbeya Mjini John Mwambigija akielezea azma yao ya kutangaza mkutano wa UKAWA unaotarajia kufanyika Mei 22 Katibu...
BADO NATUNZA HIZI SIMU AINA YA SIEMENS,MOTOROLA NA SAMSUNG ZA ZAMANI ANAYEHITAJI ANITAFUTE
Kwa yoyote anayehitaji simu za zamani, bado nimehifadhi nimeziweka katika eneo salama zina uwezo wa kutunza chaji kati ya wiki mbili na m...
MBEYA ILIVYOFANIKIWA KWA BIG RESULT NOW(BRN) SHULE 11 ZA SEKONDARI ZAONGOZA KITAIFA, SHULE 111 ZA MSINGI ZATUNUKIWA VYETI
Moja ya Tuzo zilizotolewa kwa shule ya Sekondari ya Wiza iliyopo Mbozi Mbeya kutokana na kufanikiwa katika BRN Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ...
CHATU WA MBEYA ANASWA, YADAIWA NI MTOTO WA CHATU MKUU
Msaka Nyoka alipita kila eneo na kila mahala, mtoni hadi vichakani hadi alipomnasa Nyoka huyo aliyekuwa akitishia usalama wa wakazi wa Jij...
NINI HATIMA YA WASICHANA HAWA WALIOTEKWA NA BOKO HARAM
Picha za wasichana wanafunzi wa Nigeria waliotekwa na kuhifadhiwa kijiji kisichojulikana(Picha kwa msaada wa mtandao)
WAHANDISI WA TANROAD WA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WALIPOTEMBELEA MRADI WA DARAJA LA KAENGESA WILAYANI SUMBAWANGA LEO
Wahandisi wa Wakala wa Barabara TANROAD mikoa ya Mbeya na Rukwa wakipewa maelekezo ya kitaalamu kutoka kwa Mhandisi wa Madaraja Eng. Tho...