| Baadhi ya wananchi wa Jiji la Mbeya wakiwa wametaqnda barabarani kumpokea Mgombea Urais wa CHADEMA kupitia UKAWA Edward Lowassa leo mchana |
| Msafara wa mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa ukitokea uwanja wa ndege wa Songwe Jijini Mbeya |
| Msafara unaendelea kuelekea viwanja vya Ruanda Nzovwe |
| Kila eneo kulikuwa na wananchi waliozuia msafara kuhitaji kumuona Mgombea urais wa UKAWA Edward Lowassa |
| Waendesha bodaboda hawakuwa nyuma waliungana na msafara huo |
| Umati wa watu uliofurika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe |
| Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwapungia mkono wakazi wa Jiji la Mbeya mara baada ya kuwasili uwanjani hapo tayari kwa kuanza mkutano |
| Mheshimiwa Lowassa akiteta jambo na mmoja wa wanachama wa CHADEMA alkipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa Songwe jijini Mbeya leo mchana |
Post a Comment