Endavyo nyuni mwituni, na kutambaa mitini, Rizikiye mdomoni,daima huithamini, Hujilia vya kondeni,vilivyosazwa na nyani, Kilio chake kide...
Fasihi(Kilio chake kidege)
Fasihi tunu adhimu
Fasihi tunu adhimu
Fasihi tunu adhimu, lugha njema kiswahili, Watumiao adimu, toka zama za awali, Hima enyi walimu,kuliangalia hili, Lugha hii kiswahili, za...
Fasihi (Nunu,uneni 'Makene')
Fasihi (Nunu,uneni 'Makene')
Nineneje nijivune,uneni naye Makene, Mtambaji wa karine,bloguni jivunia. Makene ni mtambaji, bloguni jivunia, Chakuvunia kipaji, fasihi...
Fasihi (Tamu na tungu)
Fasihi (Tamu na tungu)
Tamu ishindayo hamu, si tamu yenye ugumu, Ni tamu yenye nidhamu, iletayo balaghamu, Tamu ni tunu adhimu, na ladhaye ni adimu, Hizi ndo tu...
Dola, Waandishi na jamii utatu unaotegemeana
Dola, Waandishi na jamii utatu unaotegemeana
Na, Rashid Mkwinda. KWA muda mrefu kumekuwepo na ushirikiano baina ya vyombo vya dola, waandishi wa habari na wananchi na hivyo kuweka utatu...