Du!!! Michezo mengine ya watoto?
Watoto hawa ambao hawakuweza kufahamika majina yao na mahala wanakotokea walikutwa na kamera ya blogu hii wakicheza mchezo huu wa aina yake pembeni mwa barabara ya Tanzania Zambia eneo la Soweto jijini Mbeya, bila kujua hatari ambayo inaweza kutokea kwa mtindo huu wa kukabana kwa kutumia miguu yao.
Post a Comment
Post a Comment