Ads (728x90)



Ilikuwa ni huzuni na majonzi mazito si tu kwa mtoto Paris Michael Jackson na wadogo zake Prince Michael na Michael II watoto wa hayati Wacko Jacko, bali yalikuwa ni majonzi kwa wapenzi wa mwanamuziki huyu mahiri mfalme wa miondoko ya Pop duniani, mtoto huyu kama walivyo watu wengine alishindwa kuvumilia kuelezea hisia zake na kusababisha kuangua kilio akikumbuka mapenzi makubwa aliyokuwa akipewa na baba yake alipokuwa hai.

Hakuna wa kuzuia hali hii bali kama ilivyo desturi kila mmoja lazima atauonja umauti kwa namna yake na makadirio ya riziki yake yalivyotimia hapa duniani.

Post a Comment

Post a Comment