Ads (728x90)





Vijana hawa wa Marasta wameamua kula kwa ujuzi wa kazi zao za mikono wapo nje ya uwanja wa mpira wa miguu Sokoine, bidhaa zao za vinyago huuza kwa watu mbalimbali wakiwemo raia kutoka nje ya nchi.

KIjana aliyejitambulisha kwa jina la DAGGAS CHAITA anasema kuwa bidhaa zao huuza nchini Malawi, Zambia, Msumbiji na kwingineko ambapo pia raia wa kigeni ambao huvutiwa na bidhaa zao ni Waingereza, Wafaransa,Wajerumani na Wamarekani ambao huja kama watalii nchini. Amesema kuwa kinyago aina Mmasai huuza kwa pea moja hadi sh.500,000 kulingana na makubaliano na mteja wake.

Post a Comment

Post a Comment