Ads (728x90)


Kwa kila asiyekimbia umande lazima atakumbuka aina hii ya dawati kuna wakati mwingine mnakuwa katika mistari unakuwa umesahau kunakili kitu unalazimika kumwambia mwenzio apindishe mgongo wake, zoezi hili huwa ni zamu kwa zamu ukinakili notisi zako nawe unainamisha mgongo ili mwenzio anakili notisi zake,kama wanavyoonekana wanafunzi hawa wa Wiza High School iliyopo wilayani Mbozi

Post a Comment

  1. Mheshimiwa Mkwinda we mkali. Nakupongeza sana kwa blog yako. Mwanzo ni mgumu lakini komaa mwanangu utafikia malengo yako kwani Mbeya tuko nyuma sana kwa kusambaza taarifa muhimu kwa muda muafaka.Keep it up!!!!

    Malinza

    ReplyDelete