Ads (728x90)


Mabaki ya ndege ndogo ya abiria yenye namba za usajili 5H-PCN U206F iliyoanguka jana katika maeneo ya Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya na kusababisha kifo cha mgonjwa Godfrey Mpoli ambaye alikuwa akikimbizwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, watu watatu walijeruhiwa katika ajali hiyo ambao walilazwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya,mwezi kama huu mwaka 2006 ndege ya kukodi ilianguka na kusababisha kifo cha aliyekuwa Waziri wa nchi ofisi ya rais Bunge Juma Jamaldin Akukweti na mwanahabari Nyantori.

Post a Comment

  1. This blog is fun to explore, through other countries' memories for life, humans and wildlife. Come see the pictures Teuvo blog and tell all your friends know why this blog has a nice access through repeated worth watching käöydä Teuvo pictures blog. Therefore, to obtain your country's flag to rise higher in my blog. Merry alanutta 2011 years! Teuvo Vehkalahti Suomi Finland

    ReplyDelete