Mama huyu mkazi wa kitongoji cha Mbalizi Road jijini Mbeya akiwa na mzigo wa kuni ambao akihaha nao katikati ya jiji la Mbeya kutafuta wate...
BIASHARA AU KUJIKIMU KIMAISHA
Mama huyu mkazi wa kata ya Mlowo wilayani Mbozi mkoani Mbeya akiwa na mtoto mgongoni ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja anahaha ...
NDEGE YAANGUKA NA KUUA MGONJWA MBEYA
Mabaki ya ndege ndogo ya abiria yenye namba za usajili 5H-PCN U206F iliyoanguka jana katika maeneo ya Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya na k...
TANGULIA DKT REMMY ONGALA SISI TUNAKUFUATA
HATIMAYE Ramadhan Mtoro Ongala hatunaye tena duniani ameaga dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar,alizaliwa miaka 63 iliyopita katika mkoa w...
Dawati mgongo
Kwa kila asiyekimbia umande lazima atakumbuka aina hii ya dawati kuna wakati mwingine mnakuwa katika mistari unakuwa umesahau kunakili kitu ...
TASWIRA YA TAIFA
HII NDIO HALI HALISI YA NAMNA AMBAVYO UNAKUBALIKA KWA WAPIGA KURA, NI TATHMINI NDOGO TU UNAPASWA KUJIONEA KATIKA ZAMA HIZI ZA KIPINDI CHAKO ...
Biashara mpakani
Anahitaji maisha Bora
Huyu anatakiwa kuandaliwa maisha bora kwa kupewa elimu yenye manufaa itakayomsaidia katika cku zake za usoni,wagombesa urahisi wanalo jukumu...
UCHAGUZI 2010
SIKU ZINATARADADI LEO HII IMEBAKI TAKRIBANI WIKI MBILI HADI KUFIKIA SIKU AMBAYO WAPIGA KURA NA WADAU WA MAMBO YA KISIASA WATAINGIA KATIKA UG...
JK with Bush
Ni Urafiki wa yakini ama ni urafiki wa mmoja kumhitaji mwingine kwa ajili ya maslahi fulani,haya na tuone mwmishowe, isije ikawa ni uwekezaj...
Mtoto na Upishi wa Pombe za kienyeji
mtoto huyu na kipato cha kupika pombe,utumikishwaji watoto ni moja katika mambo ambayo yanapigwa vita kote duniani
Beit el Ajaib
Nyumba hii ya makumbusho Zanzibar inaelezwa kuwa ilijengwa wakati wa utawala wa Kisultani ambapo ndani ya nyumba hiyo kuna jumla ya nguzo 99...
Kilio cha Albino kitaisha lini
Kilio cha hawa watu kitamalizika lini, Eeeh Mola wasaidie watu wazinduke waache unyama, kwani hawa nao ni binadamu kama walivyo wengine
Wapo wapi wa zama walosimama hima kwa dhuluma
Wapo walosimama na kjiona kama wako hima, bali waishi kwa kutetema na kujawa nma dhulma, iwapi yao nia njema ilhali dunia si njema na wala s...
Nafasi nyingine 2010
Hebu na tutafakari upya inawezekana mwaka 2010 bila katiba mpya na tume ya uchaguzi iliyo chini ya mfumo wa chama kimoja? mmeamua kuingia t...
Mandhari Tulivu ya Marashi ya Unguja
Ni katika kisiwa maridhawa kando ya Bahari ya Hindi mjini Unguja Mandhari Tulivu ya Kisiwa cha Unguja, huku ni kwema atakaye na aje kutulia ...
Kila Mtu ana Haki ya Kuthaminiwa Utu wake
Imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kutowajali watu wengine kutokana na hali zao kimaisha, iwe kiuchumi kimaumbile na hata kinasabu, wapo w...
Utu hujengwa na watu
Utu Hujengwa na watu,kutokana na vitu na watu waliomo katika jamii husika, mara nyingi unapoishi katika jamii ya watu mchanganyiko hujifunza...