Ads (728x90)


KIJANA HUYU AMBAYE HAKUFAHAMIKA JINA LAKE ALIKUMBWA NA UMAUTI KWA KUPEWA KIPIGO KUTOKA KWA WANANCHI WANAODAIWA KUWA NI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KIJANA HUYO KUINGIA KATIKA GROCERY ILIYOPO ENEO LA PAMBOGO JIJINI MBEYA NA KUTAKA KUPORA FEDHA,PICHANI ASKARI KANZU WAKIUCHUKUA MWILI WAKE KWA AJILI YA KUUHIFADHI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.

Post a Comment

Post a Comment