Ads (728x90)



MWEZI WA RAMADHAN NI MOJA KATI YA MIEZI 12 YA KIISLAMU UMUHIMU WA MWEZI HUO UNATOKANA NA UMAARUFU WAKE KWA KUWA KITABU KITUKUFU CHA QURAN KIMESHUKA KATIKA MWEZI HUO KAMA ILIVYOBAINISHWA KATIKA AYA MBALIMBALI KWAMBA ''MWEZI WA RAMADHANI AMBAO NDANI YAKE KIMESHUKA KITABU KITUKUFU CHA QUR AN'' HIVYO UMUHIMU WA KIPEKEEE KWA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU NI KUKITHIRISHA KUSOMA QUR AN KATIKA MWEZI HUU MTUKUFU.

Post a Comment

Post a Comment