MIST WAJA NA USANIFU WA DARAJA LA MWANJELWA
ILI KUEPUKA MSONGAMANO HUU KATIKA ENEO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA MIST WAMEKUJA NA USANIFU WA DARAJA LA JUU LA WATEMBEA KWA MIGUU, KWA MUJIBU WA TAASISI HIYO DARAJA HILO LITASAIDIA KUPUNGUZA MSONGAMANO AMBAO UMEKUWA UKIJITOKEZA KWA SIKU ZA KARIBUNI KUTOKANA NA WATUMIAJI WENGI WA BARABARA HIYO KUPATA AJALI NA MARA NYINGINE KUCHELEWA KAZINI KUTOKANA NA MSONGAMANO HUO
, DARAJA HILO LITAKUWA RAFIKI WA WATUMIAJI WA AINA ZOTE KAMA VILE WENYE ULEMAVU, WAZEE, WATOTO WADOGO NK.
Post a Comment
Post a Comment