Ads (728x90)

Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu kuzama kwa meli ya mizigo ya Mv Fatih mjini Zanzibar taarifa zingine za huzuni na majonzi za kuzama kwa meli Kisiwani Zanzibar zimeripotiwa usiku wa kuamkia leo na watu kadhaa wanasadikiwa kupoteza maisha katika meli hiyo.

Picha ya kumbukumbu mwaka 2009 Katibu mkuu wa CUF ambaye kwa sasa ni Makamu wa kwanza wa SMZ Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa Habari mara kutokea kwa ajali hiyo.

Meli mv Fatih iliyozama mwaka 2009, leo hii kuna taarifa za kuzama kwa meli Mv SPICE ambayo inadaiwa abiria takriban 150 walikuwa wakisafiri na meli hiyo.

Post a Comment

Post a Comment