Ndege ndogo aina ya CESSINA yenye nmba za usajili 9J-BIO imeanguka katika shamba la Kituo cha Utafiti cha Shirika la Kilimo Uyole majira ya saa mbili asubuhi ikiwa ni muda mfupi baada ya kuruka kutoka katika uwanja wa ndege wa Mbeya.
Ndege hiyo ambayo ilikuwa imebeba abiria wanne pamoja na rubani ilikosa mwelekeo baada ya kuwepo kwa upepo mkali nyakati za asubuhi na hivyo kukosa mwelekeo na kutua chini bila kusababisha madhara kwa abiria waliokuwemo
NDEGE NDOGO YA KUKODI AINA YA CESSINA NAMBA 9J-BIO BAADA YA KUANGUKA HUKO ENEO LA UYOLE JIJINI MBEYA
Post a Comment
Post a Comment