Ads (728x90)

WAKATI VIONGOZI HAWA WAKUU WA NCHI WAKIWA KATIKA MAJONZI KUFUATIA MSIBA MKUBWA ULIOTOKEA BAADA YA KUZAMA KWA MELI YA MV SPICE ISLANDER WAKATI
HUO HUO MRATIBU WA MASHINDANO YA MISS VODACOM HASHIMU LUNDENGA PICHANI AKIENDELEZA HARAKATI ZAKE KATIKA MASHINDANO YA MISS TZ, MIE NADHANI THAMANI YA MASHINDANO HAYA IMESHUKA NA ITASHUKA SIKU HADI SIKU PAMOJA NA KUPEANA ZAWADI KUBWA KAMA HII YA GARI AINA YA JEEP...
BADO THAMANI YA MAISHA YA BINADAMU NI KUBWA KULIKO THAMANI YA KITU CHOCHOTE CHINI YA ANGA HILI.
VIONGOZI WAKUU WA NCHI WAKIWA MAZIKONI HUKU WANAOSHABIKIA WATU KUTEMBEA UCHI WAKIFURAHIA WAKATI HUO HUO NA SIKU HIYO HIYO PAMOJA NA KUTANGAZWA SIKU TATU ZA MAOMBOLEZO NCHI NZIMA
USHINDI WA BINTI HUYU KATIKA MASHINDANO HAYA UNA THAMANI YOYOTE KWELI HIVI ANA RAHA GANI JUU YA USHINDI WAKE KUFANYIKA SIKU AMBAYO SERIKALI IMETANGAZA KUWA NI SIKU ZA MAOMBOLEZO KUFUATIA MAMIA YA WATU KUFA MAJI?
MAMIA WAMEKUFA NA MAMIA WAMEJERUHIWA KATIKA AJALI HIYO,NI KIPINDI KIGUMU KINACHOHITAHI KUTAFAKARI KWA KINA HIVI FURAHA YA HAWA WALIOPONGEZANA KATIKA SIKU HII INA KIFANI KIASI GANI?
VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIONA UMUHIMU WA MSIBA HUU WA KITAIFA WALIKATISHA SHUGHULI ZAO ZOTE LAKINI HAWA JAMAA ZETU WANAJIONA KAMA WATAISHI MILELE
HUKU WENGINE WAKIWA KATIKA NA IBADA YA KUWAOMBEA TAHFIFU WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI NA MAJONZI KWA KUONDOKEWA NA NDUGU NA JAMAA NA TAIFA LIKIZIZIMA KWA SIMANZI JAMAA ZETU WENGINE WANATUMIA SIKU HIYO HIYO KWA WAKATI UNAOFANANA KUSHINDANISHA MABINTI KUTEMBEA NUSU UCHI NA KUPONGEZANA KWA KUPEANA JEEP.

Post a Comment

Post a Comment