Ads (728x90)

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI BW. PHILIPO MULUGO AKIONESHA MOJA YA VITABU AMBAVYO AMEVIGAWA KWA SHULE ZA SEKONDARI JIMBO LA SONGWE

NAIBU WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI BW. PHILIPO MULUGO AKIANGALIA MOJA YA LAPTOP KATI YA LAPTOP 40 ALIZOWAGAWIA WALIMU, NA WARATIBU WA ELIMU WA JIMBO LA SONGWE WILAYANI CHUNYA JANA

MBUNGE WA JIMBO LA SONGWE WILAYANI CHUNYA BW. PHILIPO MULUGO AKIMGAWIA LAPTOP MKUU WA SHULE YA SEKONDARI MKWAJUNI BW.JOEL SEME KWA AJILI YA KUMRASHISISHIA UFUNDISHAJI.

Post a Comment

Post a Comment