Ads (728x90)

SIKU wanafunzi wa shule ya sekondari Ilasi walipoagwa rasmi ikiwa ni mahafali ya pili tangu kuanzishwa kwa shule hiyo.
WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI ILASI

MKURUGENZI WA SHULE YA SEKONDARI ILASI BW. RINGTON CHAULA AKITOA NASAHA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WA SHULE YA SEKONDARI ILASI

MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI HIYO MBUNGE WA JIMBO LA MBEYA MJINI DKT. MARY MWANJELWA AKITETA JAMBO NA MKUU WA SHULE HIYO BW. BENSON MPESYA

MKUU WA SHULE BW. MPESYA AKIZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA SHULE HIYO BW.CHAULA

MKURUGENZI WA ILASI SEKONDARI BW. RINGTON CHAULA
DKT.MARY MWANJELWA NA MKURUGENZI BW.CHAULA
MKURUGENZI ILASI SEKONDARI AKIMKARIBISHA DKT MARY MWANJELWA NA KUTAMBULISHWA NA MKUU WA SHULE BW. BENSON MPESYA

DKT. MARY MWANJELWA AKITOA NASAHA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE WA SEKONDARI YA ILASI
MRUGENZI WA ILASI BW.CHAULA AKIMSHUKURU DKT. MARY MWANJELWA

Post a Comment

Post a Comment