WANAHABARI SAFARINI VIJIJINI
NI safari ya wanahabari kuelekea katika maadhimisho ya miaka 50 ya UHURU maeneo mengi ya vijijini yamekuwa kama yalivyokuwa miaka 50 iliyopita, miundo mbinu mibovu nyumba za mbavu za mbwa na hata maisha ya watu ni kama yale yaliyokuwa kabla ya Uhuru nini cha kujivunia,tunapoadhimisha miaka hamsini ya Uhuru changamoto zipi zinapaswa kufanyiwa marekebisho kwa miaka 50 ijayo. Ni wazi kuwa ni wachache katika kizazi hiki kilichopo watakaobahatika kufika miaka hamsini ijayo na hata kama watakuwepo watakuwa ni wazee wasiojiweza kwa lolote wala chochote matunda gani wanapaswa kuyapanda ili yawe mazingatio kwa vizazi vijavyo?
Post a Comment
Post a Comment