Dkt Nchimbi atunukiwa shahada ya Udaktari
Nimesoma katika gazeti hilo hapo juu, nimeona Waziri wa Habari Utamaduni  na Vijana ametunukiwa shahada ya Daktari wa Filosofi(PhD) katika chuo  Kikuu cha Mzumbe, Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chuo cha  Mzumbe Rainfrida Ngatunga ni kwamba Dkt Nchimbi amekuwa ni miongoni mwa  wahitimu saba waliotunukiwa shahada hiyo ya uzamivu.

Post a Comment