 KIKAO CHA BARAZA KUU LA MADIWANI JIJI LA MBEYA KIMEMALIZIKA HUKU MEYA  WA JIJI LA MBEYA ATHANAS KAPUNGA AKIZIDI KUWEKWA KIKAANGONI, AMBAPO  MADIWANI WA BARAZA HILO WAMEMPA SIKU SABA KUJIELEZA JUU YA TUHUMA  MBALIMBALI ZINAZOMKABILI IKIWEMO, UCHOCHEZI WA VURUGU ZA MWANJELWA  ZILIZOSABABISHA UMWAGIKAJI WA DAMU AMBAPO SIKU YA VURUGU ALIONDOKA  KUELEKEA USANGU KWENYE HARUSI HUKU AKIACHA JIJI LIKIWAKA MOTO KWA  VURUGU,AMEKUWA KIGEUGEU KUTOKANA NA MATAMSHI YAKE DHIDI YA  MAAMUZI,UBADHIRIFU KIASI CHA ZAIDI YA  SHILINGI MILIONI TANO AMBAZO  ALISAFIRI KWENDA NCHINI CHINA NA MKUU WA MKOA NA BAADAYE ALILAZIMISHA  KULIPWA NA HALMASHAURI YA JIJI KINYUME CHA TARATIBU,ALIMTISHIA KUMUUA  DIWANI WA ITENDE BW. KIBONA KWA KUWA DIWANI HUYO ALIPOKEA KIASI CHA  FEDHA SH.200,000 KUTOKA KWA MBUNGE WA MBEYA MHESHIMIWA SUGU, AMEINGILIA  KAMATI YA MIPANGO MIJI KWA KURUHUSU WATU KULIMA MILIMANI KINYUME CHA  SHERIA,ALITUMIA VIBARA MADARAKA YAKE KWA KUWALAGHAI WAFANYABIASHARA  WAWILI KWA MADAI ATAWAGAWIA VIWANJA VYA IWAMBI NA KUCHUKUA KIASI CHA SH.  MILIONI 38 AMBAZO MFANYABIASHARA WA DUKA LA DAWA MAARUFU KWA JINA LA  BABITO ALITOA KIASI CHA SH. MILIONI 20 NA MFANYABIASHARA SIMON GATUNA  ALITOA SH..MILIONI 18 FEDHA AMBAZO HADI SASA BADO HAJALIPA.
KIKAO CHA BARAZA KUU LA MADIWANI JIJI LA MBEYA KIMEMALIZIKA HUKU MEYA  WA JIJI LA MBEYA ATHANAS KAPUNGA AKIZIDI KUWEKWA KIKAANGONI, AMBAPO  MADIWANI WA BARAZA HILO WAMEMPA SIKU SABA KUJIELEZA JUU YA TUHUMA  MBALIMBALI ZINAZOMKABILI IKIWEMO, UCHOCHEZI WA VURUGU ZA MWANJELWA  ZILIZOSABABISHA UMWAGIKAJI WA DAMU AMBAPO SIKU YA VURUGU ALIONDOKA  KUELEKEA USANGU KWENYE HARUSI HUKU AKIACHA JIJI LIKIWAKA MOTO KWA  VURUGU,AMEKUWA KIGEUGEU KUTOKANA NA MATAMSHI YAKE DHIDI YA  MAAMUZI,UBADHIRIFU KIASI CHA ZAIDI YA  SHILINGI MILIONI TANO AMBAZO  ALISAFIRI KWENDA NCHINI CHINA NA MKUU WA MKOA NA BAADAYE ALILAZIMISHA  KULIPWA NA HALMASHAURI YA JIJI KINYUME CHA TARATIBU,ALIMTISHIA KUMUUA  DIWANI WA ITENDE BW. KIBONA KWA KUWA DIWANI HUYO ALIPOKEA KIASI CHA  FEDHA SH.200,000 KUTOKA KWA MBUNGE WA MBEYA MHESHIMIWA SUGU, AMEINGILIA  KAMATI YA MIPANGO MIJI KWA KURUHUSU WATU KULIMA MILIMANI KINYUME CHA  SHERIA,ALITUMIA VIBARA MADARAKA YAKE KWA KUWALAGHAI WAFANYABIASHARA  WAWILI KWA MADAI ATAWAGAWIA VIWANJA VYA IWAMBI NA KUCHUKUA KIASI CHA SH.  MILIONI 38 AMBAZO MFANYABIASHARA WA DUKA LA DAWA MAARUFU KWA JINA LA  BABITO ALITOA KIASI CHA SH. MILIONI 20 NA MFANYABIASHARA SIMON GATUNA  ALITOA SH..MILIONI 18 FEDHA AMBAZO HADI SASA BADO HAJALIPA.KUTOKANA NA TUHUMA HIZI NA NYINGINEZO MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI WAMEMWANDIKIA BARUA ATOE MAELEZO NDANI YA SIKU SABA.
, WA MALI NA MAMBO MENGINE AMBAYO YANAONESHA NAMNA AMBAVYO MEYA HUYO AMEKUWA AKITANGULIZA MASLAHI ZA KISIASA BADALA YA MAENDELEO YA WANANCHI.

Post a Comment