KIKAO CHA BARAZA KUU LA MADIWANI JIJI LA MBEYA KIMEMALIZIKA HUKU MEYA WA JIJI LA MBEYA ATHANAS KAPUNGA AKIZIDI KUWEKWA KIKAANGONI, AMBAPO MADIWANI WA BARAZA HILO WAMEMPA SIKU SABA KUJIELEZA JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZINAZOMKABILI IKIWEMO, UCHOCHEZI WA VURUGU ZA MWANJELWA ZILIZOSABABISHA UMWAGIKAJI WA DAMU AMBAPO SIKU YA VURUGU ALIONDOKA KUELEKEA USANGU KWENYE HARUSI HUKU AKIACHA JIJI LIKIWAKA MOTO KWA VURUGU,AMEKUWA KIGEUGEU KUTOKANA NA MATAMSHI YAKE DHIDI YA MAAMUZI,UBADHIRIFU KIASI CHA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI TANO AMBAZO ALISAFIRI KWENDA NCHINI CHINA NA MKUU WA MKOA NA BAADAYE ALILAZIMISHA KULIPWA NA HALMASHAURI YA JIJI KINYUME CHA TARATIBU,ALIMTISHIA KUMUUA DIWANI WA ITENDE BW. KIBONA KWA KUWA DIWANI HUYO ALIPOKEA KIASI CHA FEDHA SH.200,000 KUTOKA KWA MBUNGE WA MBEYA MHESHIMIWA SUGU, AMEINGILIA KAMATI YA MIPANGO MIJI KWA KURUHUSU WATU KULIMA MILIMANI KINYUME CHA SHERIA,ALITUMIA VIBARA MADARAKA YAKE KWA KUWALAGHAI WAFANYABIASHARA WAWILI KWA MADAI ATAWAGAWIA VIWANJA VYA IWAMBI NA KUCHUKUA KIASI CHA SH. MILIONI 38 AMBAZO MFANYABIASHARA WA DUKA LA DAWA MAARUFU KWA JINA LA BABITO ALITOA KIASI CHA SH. MILIONI 20 NA MFANYABIASHARA SIMON GATUNA ALITOA SH..MILIONI 18 FEDHA AMBAZO HADI SASA BADO HAJALIPA.
KUTOKANA NA TUHUMA HIZI NA NYINGINEZO MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI WAMEMWANDIKIA BARUA ATOE MAELEZO NDANI YA SIKU SABA.
, WA MALI NA MAMBO MENGINE AMBAYO YANAONESHA NAMNA AMBAVYO MEYA HUYO AMEKUWA AKITANGULIZA MASLAHI ZA KISIASA BADALA YA MAENDELEO YA WANANCHI.
Post a Comment
Post a Comment