(Mwanakatwe akizongwa na askari polisi katika moja ya harakati zake za kiuandishi wakati akitekeleza wajibu wake na kujikuta na askari wa Usalama Barabarani ) |
Mwanakatwe akitoka kituo cha Polisi centro jijini Mbeya ambako alishikiliwa na polisi kutokana na kutofautiana katika utendaji wa kazi |
Akizungumza kama tukio hilo linaweza kushabihiana na shughuli zake za kiuandishi, alisema kuwa hana uhakika na hilo ingawa pia linaweza kuwa linahusiana na kazi zake anazozifanya kwa kuwa zinagusa maslahi ya watu.
MWANAFASIHI:Inawezekana kuwa tukio hili la wizi linashabihiana na kazi zako za uandishi unazofanya?
MWANAKATWE: Sina uhakika na hilo lakini inawezekana kuhusishwa na kazi yangu...si unajua tena hizi kazi zetu zinazalisha maadui wengi?
Post a Comment
Post a Comment