Ads (728x90)


HAWA NI WATOTO WA KITANZANIA WALIOPO MIJINI NA VIJIJINI KATIKA MAENEO MENGI NCHINI TANZANIA, AMBAO WANAHITAJI KUPATA URITHI BORA AMBAO NI ELIMU INAYOWEZA KUWASAIDIA KATIKA MAISHA YAO YA USONI,ASILIMIA KUBWA YA WATOTO HAWA NI WALE AMBAO WAZAZI WAO WANAISHI CHINI YA DOLA MOJA KWA SIKU.
MAISHA YA WAZAZI WA WATOTO HAWA NI YA KIPATO CHA CHINI AMBAO MAHITAJI YAO NI YALE YA KIJUNGU JIKO YAANI UKIPATACHO NDICHO ULACHO..HULA KWA UREFU WA NGUVU ZAO MARA NGUVU HIO ZINAPOISHA HAKUNA URITHI KWA FAMILIA ZAO, NI MIAKA HAMSINI YA UHURU WA KUTHUBUTU KUWEZA NA KUSONGA MBELE...TUWEKE MIKAKATI YA MIAKA HAMSINI IJAYO ILI VIZAZI VIJAVYO VISITUKANE MAKABURI YETU.

Post a Comment

Post a Comment