Ads (728x90)




 IFUATAYO NI RATIBA YA KUMUAGA MAREHEMU MZEE JAMES BUKUMBI, AMBAYE NI BABA MZAZI WA MKURUGENZI MTENDAJI WA GLOBAL PUBLISHERS LTD, BW. ERIC SHIGONGO KESHO JUMATATU:

SAA 3 ASUBUHI - MWILI WA MAREHEMU KUFUATWA MOCHWARI YALUGALO HOSPITAL
SAA 5 ASUBUHI - MWILI KUWASILI NYUMBANI KWA MAREHEMU KIJITONYAMA
SAA 6 MCHANA - IBADA YA KUMUOMBEA MAREHEMU
SAA 7 MCHANA - SADAKA
SAA 8 MCHANA - KUAGA MWILI WA MAREHEMU
SAA 9 ALASIRI - KUELEKEA UWANJA WA NDEGE TAYARI KWA SAFARI YA MWANZA SIKU YA JUMANNE.

Shughuli itafanyika nyumbani kwa marehemu, Kijitonyama, barabara ya Sayansi kama unaelekea Tandale, jirani na Heko Motel.
(taarifa kwa hisani ya Face Book ya Abdallah Mrisho)
 







Post a Comment

Post a Comment