Ads (728x90)

ENEO hili lipo Jijini Dar es salaam, na hapa ni Kawe karibu na uwanja wa Tanganyika Packers ambapo kwa sasa panatumika kama eneo la Ibada ya Uponyaji, lakini hata hivyo ibada inayoendelea hapo haiponyi mateja hao ambao huvuta bangi, hujidunga,kufanya mambo ya kihalifu, Gari hili bovu linatumika kama makazi yao mamlaka zinazohusika hazijachukua hatua yoyote dhidi ya vitendo vinavyoendelea hapa.

Hapa ni Choo na bafu la  Gheto hili

Post a Comment