Ads (728x90)

BAADHI YA VIONGOZI WA KAMATI YA MUDA YA MBEYA PRESS WAKIJADILIANA JAMBO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO ULIOWAENGUA VIONGOZI WA KLABU HIYO WANAOTUHUMIWA KWA UBADHIRIFU





WANACHAMA NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA DHARURA WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA MBEYA WAKIWA NJE YA HOTEL YA MBEYA PEAK WAKIJADILIANA JAMBO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KIKAO HICHO KILICHOWAENGUA VIONGOZI KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU HIYO.

KATIBU WA KAMATI YA MUDA USWEGE LUHANGA  AKISHUKURU WANACHAMA BAADA YA KUCHAGULIWA KATIKA KAMATI YA MUDA

WANACHAMA MBEYA PRESS CLUB


MWEKA HAZINA WA KAMATI YA MUDA EMANUEL LENGWA AKISHUKURU BAADA YA KUCHAGULIWA KUSHIKILIA NAFASI HIYO

MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA KLABU YA MBEYA PRESS BRANDY NELSON AKIWASHUKURU WANANCHI BAADA YA KUCHAGULIWA KUIONGOZA KAMATI HIYO, KUSHOTO NI MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KARSAN ALIYEHUDHURIA KAMA SHUHUDA KATIKA MKUTANO HUO








CHRISTOPHER NYENYEMBE MWENYEKITI ALIYELAZIMISHWA KUJIUZULU KUTOKANA NA TUHUMA ZA UBADHIRIFU WA FEDHA ZA KLABU HIYO

PICHA YA PAMOJA YA VIONGOZI WA KAMATI NA WANACHAMA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA DHARURA ULIOITISHWA NA WANACHAMA LEO ASUBUHI

Post a Comment

Post a Comment