Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari
baada ya msafara wa Rais kupita juzi, WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu
sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013. (PICHA NA IKULU)
|
Post a Comment
Post a Comment