MBUNGE WA ARUSHA GODBLESS LEMA AKITETA JAMBO NA WAKILI WA LWAKATARE NYARONYO KICHERE NA TUNDU LISSU NJE YA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI YA KISUTU JANA |
WILFRED LWAKATARE AKIONESHA ALAMA YA VIDOLE WAKATI AKITINGA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JANA |
BAADHI YA WAFUASI WA CHADEMA WAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JANA |
MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA WILFRED LWAKATARE ALIPANDISHWA KIZIMBANI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI WA KISUTU NA KUSOMEWA MASHTAKA YA MANNE YA UGAIDI.LWAKATARE ANATETEWA NA MAWAKILI WATANO AMBAO NI TUNDU LISSU, PROFESA ABDALLAH SAFARI,NYARONYO KICHEERE,MABERE MARANDO NA PETER KIBATARA.STORI NA PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS |
Post a Comment
Post a Comment