Ads (728x90)

HAIKUWA KIKAO RASMI BALI KAMA KAWAIDA YA SIKU ZA JUMATATU, KILA MMOJA ALIKUWA KATIKA PILIKA ZAKE ZA KAWAIDA KWA SIKU YA JUMATATU AMBAYO WENGI HUIITA JINA LISILO RASMI BLUE MONDAY, WALIANZA KUKUTANA WAWILI, BAADAYE WAKAWA WATATU NA HATIMAYE LIKAWA KUNDI.

KAMA ILIVYO ADA PANAPOKUWA NA WANAHABARI HABARI ZIKANOGA ZAIDI KILA MMOJA ALICHOMEKA LAKE VICHEKO NA FURAHA VIKAONGEZEKA, TAFAKARI YA SIKU HIYO ILIKUWA NI NAMNA GANI SIKU MPYA NA WIKI HIYO ITAKAVYOKUWA.

UTANI WA HAPA NA PALE LIENDELEA KUJIRI NI MATUKIO YA KAWAIDA KWA WANAHABARI WANAPOKUTANA

VIJIMAMBO TU VYA MJINI MACHINGA NAO BAADA YA KUONA WANAHABARI WALIVYOSHIBA AKADHANI KUWA WANAWEZA KUNUNUA MITUMBA YAKE

ALIVYOONA WALIVYOJAZIA JAZIA AKAONGEZA BEI,ETI SHATI LA MTUMBA SH. 15,000/  SI IKALA KWAKE HATA WALE WALIOTAKA KUNUNUA WAKAACHA ANGEJUA NAO KUNA WAKATI HUENDA KUDAKA MITUMBA KWA JERO JERO ASINGETHUBUTU KUTAJA BEI YA JUU.

JAMAA KAJARIBU KUBEMBELEZA LAKINI WAPI AKAJARIBU KUSHUSHA BEI AAAAHH WAPI JAMAA WAKAGHAIRI NA KUENDELEA NA MAZUNGUMZO YAO KAMA KAWAIDA..TEHETEHETEHETEHETEHETEHETEHETEHE! CHEZEA WANAHABARI WEWE HUKU WANAFIKIRIA KUJIHAMI MAISHA YAO KWA KUWINDWA HUKU UNAWAONGEZEA BEI YA MITUMBA AAAAH!! WAPI

Post a Comment

Post a Comment