| MSAFARA UKO MITAANI | 
| ASKARI WA MAGEREZA NAO HAWAKUACHWA NYUMA WALIINGIZWA KATIKA MAANDALIZI KWA NIA YA KUONGEZA NGUVU | 
| MAGARI YA ZIMAMOTO NAYO YALIKUWA KATIKA MSAFARA KUHAKIKISHA KUHAKIKISHA USALAMA IWAPO UTAZUKA MOTO KATIKA MAANDAMANO HAYO | 
| MSAFARA WA MAGARI YA POLISI UKIENDELEA KURANDA MITAANI HAPA WALIKUWA MAENEO YA MBALIZI | 
| POLISI KIKOSI CHA KARATE (WATU WA DOJO)NACHO KILIKUWA KATIKA MSAFARA | 
| MSAFARA UNAKATISHA MITAA, KARANDINGA LANDROVER NA DEFENDER ZISIZOPUNGUA 20 ZILIKUWA ZIKIVINJARI MITAANI KUTISHIA MAANDAMANO YA WAFUASI WA CHADEMA YALIYOPANGWA KUFANYIKA SIKU INAYOFUATA | 
Post a Comment
Post a Comment