Ads (728x90)

MENEJA NMB KANDA YA MBEYA LUCRESIA MAKIRIYE


KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI ATHUMANI AKISISITIZA JAMBO JUU YA MATUMIZI YA ATM NA UANGALIFU KATIKA KUTUNZA NAMBA ZA SIRI KUEPUKA WIZI KATIKA BENKI


BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB MKOA WA MBEYA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATEJA WA NMB

WAJASIRIAMALI NA WATEJA WA NMB WAKIFUATILIA MAFUNZO KUTOKA KWA WAWEZESHAJI

MMOJA WA WATEJA WA NMB ALIYEJITAMBULISHA KWA JINA LA MAMA OLIVER AKIELEZEA CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO WAFANYABIASHARA WADOGO WAKATI WA MIKOPO

OFISA ARDHI WA JIJI LA MBEYA CASTRO NTALA AKIELEZEA MFUMO WA UGAWAJI WA VIWANJA KWA WATEJA NA CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO

MMOJA WA WATEJA WA NMB AKIULIZIA NAMNA AMBAVYO WATEJA WADOGO WANAWEZA KUNUFAIKA NA MIKOPO YJA NMB

WAJASIRIAMALI WA NMB WAKIFUATILI KWA MAKINI MAFUNZO YANATOTOLEWA

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA VIWANDA NA KILIMO TCCIA JULIUS KAIJAGE AKIELEZEA NAMNA AMBAVYO WAFANYABIASHARA WANAVYOTAKIWA KUJITOKEZA KUKOPA MIKOPO KWA AJILI YA KUJIENDELEZA KIBIASHARA

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB KUTOKA MAKAO MAKUU WAKIJITAMBULISHA KWA WAJASIRIAMALI, KUTOKA KULIA NI JEREMIAH LYIMO,DICKSON PANGAMAWE,BORONDO CHACHA NA BEATRICE MWAMBIJE


MWENYEKITI WA KLABU YA WATEJA WA BENKI YA NMB JEREMIAH MAHENGE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI CHANGAMOTO WANAZOKUTANA NAZO KATIKA BIASHARA


OFISA WA BENKI WA NMB JEREMIAH LYIMO AKITOA UFAFANUZI KWA WAJASIRIAMALI KATIKA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI JIJINI MBEYA

MMOJA WA WATEJA WA NMB AKIULIZA SWALI WAKATI WA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA WATEJA WA NMB MWISHONI MWA WIKI JIJINI MBEYA

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB KUTOKA MATAWI MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA

WATEJA WA BENKI YA NMB NA WAJASIRIAMALI WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUTOKA KWA WAWEZESHAJI WA NMB

MMOJA WA WAFANYABIASHARAA NA MTEJA WA NMB IPINI WA IPINI AKISHUKURU KWA NIABA YA WAJASIRIAMALI WA MKOA WA MBEYA

Post a Comment

Post a Comment