MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA NA MKEWE MWALIMU YOLANDA KABELEGE WAKILA KIAPO CHA NDOA KATIKA KANISA LA KKKT LA MJINI NJOMBE |
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIMPONGEZA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA BAADA YA KUFUNGA NDOA MJINI NJOMBE JANA |
BABU KAPATA BIBI!!!, NI PICHA YA PAMOJA KATI YA MAHARUSI MZEE MANGULA NA MWALIMU KABELEGE KATIKA KANISA LA KKKT NJOMBE JANA |
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA ABDULRAHMAN KINANA WAKIWAPONGEZA MAHARUSI BAADA YA KUFUNGWA KWA NDOA HIYO KATIKA KANISA LA KKKT-NJOMBE JANA, (Picha zote na mdau wa blog hii kutoka mkoani Njombe) |
Post a Comment
Post a Comment